Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ni miongoni mwa vyuo nchini Tanzania kilichopo Dar es Salaam kilianzishwa mnamo mwaka 1975.[1]

Kozi[hariri | hariri chanzo]

Chuo kinatoa kozi mbalimbali kuanzia ngazi ya Cheti, Stashada na Shahada ikiwa na baadhi ya idara za Uhandisi, Usafirishaji Biashara na Ugavi[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-17. Iliwekwa mnamo 2022-04-30. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-17. Iliwekwa mnamo 2022-04-30. 
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.