Chuo Kikuu cha Pula
Mandhari
Chuo Kikuu Juraj Dobrila cha Pula | |
---|---|
Sveučilište Jurja Dobrile u Puli | |
Chuo Kikuu cha Pula | |
Kimeanzishwa | 2006 |
Rector | Alfio Barbieri |
Mahali | Pula, Kroatia |
Affiliations | EPUF |
Tovuti | www.unipu.hr |
Chuo Kikuu Juraj Dobrila cha Pula (Kikroatia: Sveučilište Jurja Dobrile u Puli, Kilatini: Universitas studiorum Polensis Georgii Dobrila) ni chuo kikuu nchini Kroatia, kilichoanzishwa mnamo mwaka 2006 katika Pula. Ni iliyoandaliwa katika idara tano na ina wanafunzi 2.465.[1]