Chuo Kikuu cha Bagamoyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Bagamoyo (kwa Kiingereza: University of Bagamoyo, kifupi: UB) ni chuo kikuu cha binafsi nchini Tanzania.[1] kilianzishwa na Tanzania Legal Education Trust (TANLET) pamoja na kituo cha kutetea haki za binadamu Tanzania (LHRC), chuo hiki kinapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam na kampasi kuu ipo eneo la Kiromo, Bagamoyo.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 September 2015. Iliwekwa mnamo 15 July 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "University of Bagamoyo". The Legal and Human Rights Centre. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-02. Iliwekwa mnamo 8 July 2013.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Bagamoyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.