Chunya (wilaya)

Mahali pa Chunya (kijani) katika mkoa wa Mbeya.
Wilaya ya Chunya ni wilaya moja ya Mkoa wa Mbeya. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 206,615 [1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tanzania.go.tz/census. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-18. Iliwekwa mnamo 2004-03-18.
|}
![]() |
Kata za Wilaya ya Chunya - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bwawani | Chalangwa | Chokaa | Ifumbo | Itewe | Kambikatoto | Kasanga | Lupatingatinga | Luwalaje | Mafyeko | Makongorosi | Mamba | Matundasi | Matwiga | Mbugani | Mkola | Mtanila | Nkung'ungu | Sangambi | Upendo |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chunya (wilaya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |