Chumvini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Chumvini ni mahali ambapo chumvi huvunwa kwa wingi.

Nchini Tanzania chumvi huvunwa hasa katika mkoa wa Lindi na mikoa mingine mingi yenye bahari.

Chumvi hutolewa ikiwa ya mawe na hupelekwa viwandani kwa ajili ya kusagwa na pengine kuongezewa madini mbalimbali kama kalisium, iodini n.k.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chumvini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.