Chukwuma Akabueze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chukwuma Akabueze

Chukwuma Akabueze, (Mwenye jina la utani "Bentley", alizaliwa 6 Mei, 1989) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Nigeria ambaye anachezea klabu ya Gençlerbirliği.

Ushiriki Katika Kazi[hariri | hariri chanzo]

Chukwuma Ni Mshambulizi wa zamani wa klabu ya Kwara United kabla ya kupelekwa klabu ya Odd Grenland Julai 2007. Chukwuma Ni mwenye mguu mzuri sana wa kushoto ambao aliutumia kufunga bao la kushangaza ushindi dhidi ya timu ya Zambia katika hatua ya raundi ya pili ya Kombe la Dunia la FIFA la U-20 2007.

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Chukwuma Alikuwa mshiriki wa timu ya Nigeria iliyoshiriki Kombe la Dunia la FIFA la U-20 2007 nchini Canada ambapo walitolewa katika robo fainali na Chile.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA U-20 World Cup Canada 2007 – List of Players". FIFA. 5 July 2007. uk. 16. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 December 2013. Iliwekwa mnamo 2023-06-14.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chukwuma Akabueze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.