Chui-theluji
Mandhari
| Chui-theluji | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Chui-theluji Uncia uncia | ||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Msambao wa chui-theluji: mkazi (machungwa) au labda (machungwa isiyoiva) |
Chui-theluji (Kisayansi: Panthera uncia au Uncia uncia zamani) ni mnyama mwenye manyoya marefu meupe afananaye na chui. Anaishi milimani mwa Asia ya Kati na aliye na madoa meusi.