Christopher Walken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christopher Walken 2008

Ronald Walken (amezaliwa tar. 31 Machi 1943) akiwa kama mwigizaji, hutumia jina la Christopher Walken, ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama muhusika mwasi au kichaa. Kuna ki[indi hutumia picha ile kwa ajili ya vionjo vya kuchekesha. Huyu, alizaliwa mjini Queens, New York na baba Mjerumani na mama Mscotland.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christopher Walken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.