Christian Lous Lange
Mandhari
(Elekezwa kutoka Christian Louis Lange)
Christian Lous Lange (17 Septemba 1869 – 11 Desemba 1938) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Hasa alijitahidi kupatanisha vyama mbalimbali vya siasa. Mwaka wa 1921, pamoja na Hjalmar Branting alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christian Lous Lange kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |