Chrisant Majiyatanga Mzindakaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chrisant Majiyatanga Mzindakaya alikuwa kwa muda mrefu mbunge katika bunge la kitaifa nchini Tanzania[1] kwa kutokea katika chama cha CCM. Aliwahi pia kuwa mkuu wa mkoa na waziri. Alifariki mnamo Juni 7 2021.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Chrisant Majiyatanga Mzindakaya (21 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.