Chiu Ban It
Mandhari
Joshua Chiu Ban It (周万一; 1918 – 9 Novemba 2016) alikuwa Askofu wa Singapore kutoka 1966 hadi 1981,[1]na alikuwa Askofu wa kwanza wa asili ya Singapore.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bishops of Singapore
- ↑ Chapman, Mark (2006). Anglicanism : a very short introduction. Oxford New York: Oxford University Press. ISBN 978-0-19-280693-2. OCLC 170968642.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |