Chipsi mayai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chipsi mayai

Chipsi mayai ni chakula ambacho hupikwa kwa mchanganyiko wa viazi vilivyokatwa vipandevipande vilivyokaangwa kwa mafuta pamoja na mayai.

Chakula hiki unaweza kukikuta katika maduka ya chipsi. Katika maduka hayo unaweza kukuta na aina nyingine za chipsi kama chipsi kavu n.k. Chipsi mayai kwa jina jingine hujulikana kama Zege ina aina zaidi ya moja ya kuipika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chipsi mayai kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Khong, Rachel; Peach, the editors of Lucky (2017-04-04). Lucky Peach All About Eggs: Everything We Know About the World's Most Important Food: A Cookbook (in English). Clarkson Potter/Ten Speed. ISBN 978-0-8041-8776-3.