Nenda kwa yaliyomo

Chima Akas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chima Akas Uche (alizaliwa 3 Mei 1994) ni mwanasoka wa kimataifa wa Nigeria ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Belenenses ya Ureno, Pia ameiwakilisha timu ya taifa ya Nigeria.

Ushiriki Katika Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Uche Baada ya kuitwa kwenye kikosi kamili cha kimataifa cha Nigeria, Akas alikuwa chini ya ofa kutoka katika klabu ya Enyimba na Akwa United.[1][2][3]

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Hadi mechi iliyochezwa tarehe 20 Aprili 2017. [4]

  1. "Akwa United capture Chima Akas". goal.com. 5 Februari 2016. Iliwekwa mnamo 3 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Chima Akas signs for Akwa United". Daily Post Nigeria. 7 Februari 2016. Iliwekwa mnamo 3 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Akwa United seals deal on Chima Akas". Anambra Broadcasting Service. 7 Februari 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 3 Mei 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Chima Akas at National-Football-Teams.com

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chima Akas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.