Chigozie Atuanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chigozie Atuanya
Amezaliwa Septemba 13 1980 (1980-09-13) (umri 43) Jimbo la Abia,Nigeria
Jina lingine Zeal Chigozie Atuanya
Kazi yake Muigizaji, Mtayarishaji, mjasiriamali

Zeal Chigozie Atuanya ni mwigizaji kutoka Nigeria, mtaarishaji wa filamu na mjasiriamali .[1][2]

Maisha ya awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Chigozie Atuanya alizaliwa Aba katika Jimbo la Abia lakini alitokea Agu-Ukwu Nri kwenye Jimbo la Anambra. Anayo shahada ya utawala wa umma kutoka katika chuo cha Enugu State University of Science and Technology.[3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alifanya filamu yake ya kwanza mnamo mwaka 1998 iliyoitwa King Jaja of Opobo na kuanzia hapo aliendelea kuwa mtaarishaji na muigizaji wa filamu tofauti.[3] .[4]

Filamu zake[hariri | hariri chanzo]

  • Rattle Snake 3
  • Evil Forest
  • Ladies Men
  • Ladies Gang
  • Heavy Thunder
  • Touch and Follow
  • Sweet Potato
  • Double Slap
  • Royal Palace
  • Chetanna
  • Brother's Keeper (filamu ya 2014 )

Tuzo zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Hafla ya Tuzo Zawadi Matokeo Marejeo
2011 City People Entertainment Awards Mwigizaji bora Ameshinda [5]
2015 Zulu African Film Academy Awards Muigizaji bora wa kiume Ameshinda [6]
2016 4th Africa Magic Viewers Choice Awards Mtayarishaji bora wa filamu kwa lugha ya wazawa Aliteuliwa [7]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ezeh/Nigeriafilms.com, Maryjane. "Chigozie Atunaya Leaving The Movies For The Field? - nigeriafilms.com". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 June 2016. Iliwekwa mnamo 6 June 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Nigeria: I'll Preserve Igbo Culture With Movies - Atuanya". Iliwekwa mnamo 6 June 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 "Happy birthday to Chigozie Atuanya, born September 13!". 13 September 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-05. Iliwekwa mnamo 6 June 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Birthday Mates: Chigozie Atuanya and Monalisa Chinda (Born September 13) - Nigeria Movie Network". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-26. Iliwekwa mnamo 6 June 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. stephen. ""With God, nothing is impossible," says Nollywood Actor Chigozie Atuanya". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 August 2016. Iliwekwa mnamo 6 June 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. "Photos: Queen Nwokoye & Chigozie Atuanya Win Best Igbo Actress & Actor Of 2015 Awards At Zafaa - Nollywood, Nigeria, News, Celebrity, Gists, Gossips, Entertainment". Iliwekwa mnamo 6 June 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. "Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2016: The full winners’ list". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-30. Iliwekwa mnamo 6 June 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chigozie Atuanya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.