Chidinma Okeke
Chidinma Nkeruka Okeke | |
Amezaliwa | 11 Agosti 2000 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaji soka |
Chidinma Nkeruka Okeke (alizaliwa 11 Agosti 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza katika klabu ya Madrid CFF. Awali alikuwa katika klabu ya FC Robo katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria na pia alicheza katika timu ya taifa ya Nigeria. Alishiriki na timu ya Nigeria ambayo ilishinda Kombe la Wanawake la WAKU la mwaka 2019 huko Ivory Coast. [1][2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chidinma Okeke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |