Cheikh El Hasnaoui
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Cheikh El Hasnaoui | |
Amezaliwa | alizaliwa katika mji mdogo karbu na TIZI ouzou. |
---|---|
Amekufa | 2002 Ufaransa |
Nchi | Algeria |
Kazi yake | Muimbaji |
Cheikh El Hasnaoui (1910 – 2002) alikuwa mwimbaji wa Kiberber aliyezaliwa katika mji mdogo karibu na Tizi Ouzou nchini Algeria .
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Aliimba muziki wa chaabi wa Algeria, na alikuwa, pamoja na Slimane Azem, aliyehusika kuweka misingi ya muziki wa kisasa maarufu wa Kabyle katika miaka ya 1950 na 1960.
Kifo
[hariri | hariri chanzo]Alifariki mnamo 2002 huko Saint Pierre de la Reunion, Ufaransa.