Nenda kwa yaliyomo

Chavulio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stameni ya ua ikiwa pamoja na chavulio lake.

Chavulio (kwa Kiingereza: "Anther") ni sehemu ya stameni, ambayo ni sehemu ya kiume ya ua.

Sehemu hii ya ua hubeba mbelewele ambazo katika uzazi wa mimea huungana na chembekike za ua ili kuunda mbegu za mmea husika. Sehemu hii hushikiliwa na filamenti ambayo imejishikisha katika mrija wa stameni.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chavulio kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.