Charlotte Grant
Mandhari
Charlotte Layne Grant (alizaliwa 20 Septemba 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Australia.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce5/pdf/SquadLists-English.pdf
- ↑ "Matildas beat England 2-0 in final Europe friendly before Women's World Cup", ABC News (kwa Australian English), 2023-04-11, iliwekwa mnamo 2024-04-27
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Grant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |