Nenda kwa yaliyomo

Charles Kilonzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mutavi Charles Kilonzo ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama wa Orange Democratic Movement-Kenya na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Yatta katika bunge la Taifa la Kenya tangu uchaguzi wa bunge wa 2007. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Members Of The 10th Parliament Archived Juni 16, 2008, at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.