Nenda kwa yaliyomo

Changsha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Changsha
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Hunan
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,743,826
Tovuti:  www.changsha.gov.cn

Changsha (kwa Kichina: 长沙) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Hunan.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, kuna wakazi wapatao milioni 6.1 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Changsha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.