Nenda kwa yaliyomo

Chama cha Skauti Burundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chama cha skauti cha Burundi, Ni shirikisho la kitaifa la skauti nchini Burundi, liloanzishwa mnamo mwaka 1940 na kuwa miongoni mwa wanachama wa Shirika la Harakati za Skauti Duniani mnamo mwaka 1979. hadi kufikia mwaka 2020 chama cha Skauti nchini Burundi kilikuwa na wanachamama 2,340. [1]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Triennial Report 2005-2008" (PDF). World Organization of the Scout Movement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2008-09-09. Iliwekwa mnamo 2008-07-13.