Celin Bizet Ildhusøy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Celin Bizet Ildhusøy ( alizaliwa 24 Oktoba 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norwei ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Norwei.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. TV 2 AS (2021-01-05). "Stortalentet (19) gjør helomvending - blir i VIF". TV 2 (kwa nb-NO). Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
  2. "Norway - C. Bizet Ildhusøy - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Celin Bizet Ildhusøy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.