Nenda kwa yaliyomo

Cecilia Ghigo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cecilia Ghigo

Cecilia Ghigo (alizaliwa 16 Januari 1995) ni mwanasoka wa nchini Argentina ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Boca juniors na timu ya taifa ya wanawake ya Argentina. Laurina alishiriki kwenye mashindano ya wanawake ya Copa Amerika Femenina mwaka 2014 na Pan Amerika 2015.[1]

  1. Aguilera, Leandro (17 Machi 2019). "Cecilia Ghigo". Los Andes (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecilia Ghigo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.