Cecile Esmei Amari
Mandhari
Cecile Esmei Amari (aliyezaliwa tarehe 20 Novemba mwaka 1991) ni mchezaji soka wa Ivory Coast ambaye anacheza kama mlinzi kwa timu ya taifa ya wanawake ya Ivory Coast. Alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshiriki Kombe la Mataifa ya Afrika la Wanawake mwaka 2014 na pia Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake mwaka 2015. Katika ngazi ya klabu, alikuwa akichezea Ataşehir Belediyespor katika Ligi ya Kike ya Uturuki msimu wa 2019-20.
Alianza kucheza soka huko Morocco mwaka 2012 kwa Raja Haroda Casablanca. Mwaka wa 2013, alihamia Wydad AC nchini humo. Baadaye, alijiunga na klabu ya ZFK Spartak Subotica ya Serbia mwaka 2014.
Angalia zahidi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cecile Esmei Amari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |