Cayenne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mji wa Cayenne

Cayenne
Majiranukta: 4°56′05″N 52°19′49″E / 4.93472°N 52.33028°E / 4.93472; 52.33028
Nchi Ufaransa
Mkoa Guyana ya Kifaransa
Wilaya Guyana ya Kifaransa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 50,594
Tovuti:  www.guyane.pref.gouv.fr
Mahali pa Cayenne

Cayenne (tamka: kayen) ni mji mkuu wa wilaya na eneo la ng'ambo la Ufaransa la Guyana ya Kifaransa. Kuna wakazi 50,594 (sensa 1999) katika eneo la 23.60 km².

Mji uko kwenye rasi ya nchi kando la mdomo wa mto Río Cayenne unapoishia katika Atlantiki.

Baharini mbele ya pwani kipo Kisiwa cha Sheitani kilichokuwa kisiwa cha gereza cha Ufaransa kati ya 1852 na 1946.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cayenne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.