Catarina Macario

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Macario akiwa na timu ya taifa marekani mnamo 2021

Catarina Cantanhede Melônio Macário (alizaliwa Oktoba 4, 1999)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Marekani ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[3].

Mzaliwa wa Brazil, anachezea timu ya taifa ya Marekani.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Magic of Macario". Stanford University Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  2. (2008-11-30). "Aos 9 anos menina é uma prodígio no futebol". Acervo (kwa pt-BR). Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  3. Grant Wahl (2022-01-04). "Premium: Is the Catarina Macario Era Upon Us?". Fútbol with Grant Wahl. Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
  4. "Esporte Espetacular | Comparada a Marta, Catarina Macario brilha no futebol feminino, mas sonha defender os EUA | Globoplay". web.archive.org. 2019-01-07. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-07. Iliwekwa mnamo 2024-04-20. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Catarina Macario kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.