Cartennae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makumbusho ya Tenes, Algeria

Cartennae[1] au Cartenna[2] ulikuwa ni mji wa kale wa Kataganian,Waberiberi, ulifanywa mji wa bandari kipindi cha Warumi na sasa unaitwa Tenes upo Algeria. Chini ya Warumi, ilikuwa sehemu ya jimbo la Mauretania Caesariensis.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cartennae kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.