Carolyne Wanjiku Tharau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Carolyne Wanjiku Tharau (anajulikana zaidi kama Wanjiku the Teacher au Teacher Wanjiku[1]) ni muandaaji wa filamu, mwigizaji na mchekeshaji wa Kenya.

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Wanjiku alianza kung'ara katika maigizo ya vichekesho ya jukwaani katika kipindi maarufu cha Churchil Show na mwaka 2013 alipata zaidi ya watazamaji 200,000 katika mtandao wake wa YouTube,Mwaka 2014 aliondoka Churchil baada ya mkataba wake na churchil kuisha,Wanjiku aliendelea kuonekana katika majukwaa tofauti tofauti ya Kenya ikiwemo The Hot Seatand [2] alionekana pia katika sherehe za kuzaliwa za Daniel akiwa kama muigizaji mgeni.[3]

Wanjiku amekuwa ni balozi katika kampuni mbalimbali ikiwemo Airtel, Airtel Money, Unilevers Blue Band, Honda, Bata, USAID, National Bank na makampuni mengine,alikuwa ni balozi wa Dettol, baada ya Julie Gichuru, Lulu Hassan na Patience Ozokwor. Pia amefanya kazi kama raisi katika makampuni ya National media kama mtangazji wa radio ya Q FM,[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Meet Caroline Wanjiku aka Teacher Wanjiku. Iliwekwa mnamo 15 June 2018.
  2. Any regrets? Teacher Wanjiku finally speaks on why she left Churchill Show. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-10-22. Iliwekwa mnamo 15 June 2018.
  3. "Comedian Teacher Wanjiku Makes Major Comeback at Churchill Show. Kenyans React". Retrieved on 15 June 2018. Archived from the original on 2018-07-07. 
  4. "Teacher Wanjiku joins Q FM", Daily Nation. Retrieved on 15 June 2018. 
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carolyne Wanjiku Tharau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.