Caroline De Costa
Mandhari
Caroline May de Costa AM (née Downes; alizaliwa 1947) ni Profesa wa Obstetrics na Gynecology katika Chuo Kikuu cha James Cook, Queensland, Australia. Ni mtetezi wa afya ya watu wa asili na wa utoaji mimba. Pia anaandika vitabu vya taaluma ya matibabu na riwaya za uhalifu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ De Costa, Caroline (2010). "We "never" train women in Sydney" (PDF). Med. J. Aust. 193 (11): 674–678. doi:10.5694/j.1326-5377.2010.tb04101.x. PMID 21143058. S2CID 222032065.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caroline De Costa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |