Caroline Cannon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Caroline Cannon au Aqugaq ni kiongozi wa Iñupiaq na mwanamazingira kutoka Point Hope, Alaska. [1] Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka wa 2012 kwa mapambano yake ya kulinda mazingira ya baharini dhidi ya uchafuzi wa mazingira kutoka kwenye sekta ya petroli. [2] [3] [4] [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Goldman Prize Winner Caroline Cannon. loe.org (20 April 2012). Iliwekwa mnamo 28 April 2019.
  2. Alaskan Wins Environmental Prize for Opposing Offshore Drilling. voanews.com (23 April 2012). Iliwekwa mnamo 28 April 2019.
  3. Caroline Cannon. Goldman Environmental Prize. Iliwekwa mnamo 31 May 2012.
  4. Inupiat Woman Wins Goldman Prize for Leading Fight Against Arctic Drilling. treehugger.com (20 April 2012). Iliwekwa mnamo 28 April 2019.
  5. Point Hope leader awarded prestigious prize. thearcticsounder.com (20 April 2012). Iliwekwa mnamo 28 April 2019.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caroline Cannon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.