Nenda kwa yaliyomo

Carlos Pellegrini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carlos Pellegrini

Carlos Enrique José Pellegrini Bevans (1alizaliwa 1 Oktoba 184617 Julai 1906) alikuwa Makamu wa Rais wa Argentina na alikua Rais wa Argentina kuanzia 6 Agosti 1890 hadi 12 Oktoba 1892, baada ya kujiuzulu kwa Rais Miguel Ángel Juárez Celman (tazama Revolución del Parque)..[1]

  1. ".:: Banco de la Nación Argentina ::". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-29. Iliwekwa mnamo 2010-06-07.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Pellegrini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.