Carl Van Doren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl Van Doren
Carl Van Doren
Amezaliwa Carl Clinton Van Doren
10 Septemba 1885
Illinois, Marekani
Amekufa 18 Julai 1950
Connecticut, Marekani
Ndoa Irita Bradford Van Doren (1912-1935), Jean Wright Gorman (1939-1945)


Carl Clinton Van Doren (10 Septemba 188518 Julai 1950) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1939, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya Benjamin Franklin.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Van Doren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.