Carl Van Doren
Mandhari
(Elekezwa kutoka Carl Clinton Van Doren)
Carl Van Doren | |
Amezaliwa | Carl Clinton Van Doren 10 Septemba 1885 Illinois, Marekani |
---|---|
Amekufa | 18 Julai 1950 Connecticut, Marekani |
Ndoa | Irita Bradford Van Doren (1912-1935), Jean Wright Gorman (1939-1945) |
Carl Clinton Van Doren (10 Septemba 1885 – 18 Julai 1950) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1939, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya Benjamin Franklin.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carl Van Doren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |