Nenda kwa yaliyomo

Carl Beukes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl Beukes
Amezaliwa Carl Beukes
3, October
Nchi ya Africa kusini
Jina lingine Paul McPherson
Kazi yake muigizaji katika igizo la isidingo

Carl Beukes alizaliwa tarehe 3 Oktoba mwaka 1976,[1] ni muigizaji kutokea nchi ya Afrika Kusini aliyejulikana kwa jina la Paul McPherson katika igizo la Isidingo na kama malaika Gabrieli kwenye kipindi cha Televishini cha Dominion.Beukes alihitimu masomo ya Hotuba na Tamthilia katika shule ya The National School of the Arts.[2].Mbali na filamu yake maarufu, runinga, na majukumu mengine ya kwenye runinga,Beukes pia amekuwa akihusika katika utayarishaji wa majukwaa ya Macbeth, Certified Male, Amadeus, Popcorn, Art, Black Dog, na Tape.[3]

Mwaka 2016, Beukes alifanya kazi ya kuongoza kama rubani kwenye tamthilia ya Mars Project Drama The CW.[4].

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Beukes alioa Novemba mwaka 2014[5] na alisherekea fungate lake Zanzibar.[6].Mwaka 2003 alihamia london ambapo aliishi kwa miezi kumi na sita kabla hajarudi nchini Afrika Kusini Septemba mwaka 2004.[7]


  1. Carl Beukes // TVSA
  2. "Gabriel". Iliwekwa mnamo 2015-09-25.
  3. "Carl Beukes". InterSEXions. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-28. Iliwekwa mnamo 2015-09-25.
  4. Petski, Denise (2016-02-24). "The CW's Mars Project Drama Pilot Casts Mouzam Makkar, Carl Beukes & Tongayi Chirisa" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2016-07-22.
  5. "SA's Beukes to raise hell in Hollywood - Tonight TV & Radio". Independent Online. Iliwekwa mnamo 2015-09-25.
  6. Ndlovu, Andile. "SA actor is in seventh heaven". Times LIVE. Iliwekwa mnamo 2015-09-25.
  7. "Gay South Africa Lifestyle | News | Dating". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-14. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Beukes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.