Cardiff stadium

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Cardiff stadium ni uwanja mkuu wa mpira wa miguu katika nchi ya Wales (Ulaya visiwani).

Uwanja huo ni mkubwa na mzuri pia na mwaka 2017 umebahatika kuchezwa mashindano makubwa ya mpira wa miguu barani Ulaya (UEFA).