Caracol (Belize)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Caracol

Caracol ni jina la mji ambao umetolewa kwenye eneo la kale la Maya, ambao sasa upo kwenye Wilaya ya Cayo, nchini Belize, Amerika ya Kati.

Upo km 40 kusini mwa Xunantunich na San Ignacio Cayo, na umbali wa km 15 kutoka Mto Macal. Caracol ina kilomita za mraba 200.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.