Nenda kwa yaliyomo

Camfed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

CAMFED (pia inajulikana kama kampeni ya elimu ya kike) ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali, na lisilo la faida lililoanzishwa mwaka 1993 ambalo dhamira yake ni kutokomeza umaskini barani Afrika kupitia elimu ya wasichana na uwezeshaji wa wanawake vijana.

Programu za CAMFED zinafanya kazi nchini Zimbabwe, Zambia, Ghana, Tanzania na Malawi.[1][2]

  1. Inman, Phillip. "Girls in Africa quitting school over cost of living crisis, says charity", The Guardian, 2023-10-25. (en-GB) 
  2. "Annual report 2016" (PDF). Camfed. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)