Calama (Numidia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
GM Guelma Theatre romain01

Calama ilikuwa koloni katika mkoa wa Kirumi wa Numidia uliopo Guelma nchini Algeria.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "africa agostiniana". www.cassiciaco.it (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Calama (Numidia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.