CP/M ulikuwa Mfumo wa Uendeshaji wa kompyuta kutumika katika miaka ya 1970 na mwanzoni mwa 1980.
Mwanzoni, mfumo huu uliweza kuhimili hadi kb 64 ya kumbukumbu kuu.
Ilikuwa katika mfumo wa mstari wa amri yaani command-line based, na ilitolewa kabla ya MS-DOS.