CMA CGM

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
CMA CGM 2018
CMA CGM 2018

CMA CGM ni kampuni ya kimataifa ya uchukuzi, hasa baharini kwa njia ya meli kutoka Ufaransa.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu CMA CGM kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.