Nenda kwa yaliyomo

Cölestin Josef Ganglbauer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cölestin Josef Ganglbauer

Cölestin Josef Ganglbauer, O.S.B (alizaliwa 20 Agosti 1817 huko Thanstetten – 14 Desemba 1889 huko Vienna) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki la Roma na Askofu Mkuu wa Vienna.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.