Nenda kwa yaliyomo

Cântico da Liberdade

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

"Cântico da Liberdade" (Kiswahili: "Mkarara wa Uhuru") ni wimbo wa taifa la Cabo Verde. Ilitungwa rasmi mwaka 1996 ili iwepo badala ya nyimbo iitwayo "Esta É a Nossa Pátria Bem Amada", ambayo pia ndio iliyokua nyimbo ya Taifa ya Guinea Bissau, nyimbo hii ilikua ni urithi wa mataifa hayo mawili yaliyopata uhuru pamoja. Nyimbo hiyo ilitungwa na Adalberto Higino Tavares Silva mwaka (1961-),na iliandikwa na Amílcar Spencer Lopes mwaka (1948-)[1]

Nyimbo hii ya Taifa ni lazima iimbwe mwanzo na mwisho wa kila shughuli za kinchi ambazo ataluwepo Raisi wa nchi, au patapokuwepo shughuli zozote za vyama vya kisiasa na katika ufumguzi na ufungaji katika vipindi vya televisheni na redio[2]

  1. talberto+Higino+Tavares+Silva+Am%C3%ADlcar+Spencer+Lopes&pg=PT75&redir_esc=y#v=snippet&q=Adalberto%20Higino%20Tavares%20Silva%20Am%C3%ADlcar%20Spencer%20Lopes&f=false
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-17. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.

{{Mbegu}]