Bwawa Mulungushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bwawa Mulungushi

Bwawa Mulungushi linapatikana kilometa 50 kusini mashariki mwa Kabwe nchini Zambia. Lilijengwa na kampuni ya Broken Hill Development katika mto Mulungushi na kufunguliwa mwaka 1925 na mwanamfalme wa Wales (baadaye mfalme Edward VIII). Lengo ni kuzalisha umeme katika mgodi wa Broken Hill eneo la Kabwe

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Zambia Lowdown website accessed 19 February 2007.

Majiranukta kwenye ramani: 14°40′S 28°50′E / 14.667°S 28.833°E / -14.667; 28.833

Flag-map of Zambia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bwawa Mulungushi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.