Bustani ya Jeevanjee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mzee Jeevanjee katika bustani yenye jina lake

Bustani ya Jeevanjee ni bustani ya umma katika kitovu cha jiji la Nairobi, Kenya. Bustani ya Jeevanjee ilianzishwa na Alibhai Mulla Jeevanjee, mfanyabiashara mzaliwa wa Karachi, Pakistani aliyefika wakati wa ujenzi wa reli ya Uganda nchini Kenya. [1]

Hii ndio bustani ya pekee katika mji inayomilikiwa moja kwa moja na raia, baada ya kuchangiwa kwa watu maskini wa Nairobi kama eneo la kupumzika (mbuga ilikuwa mali binafsi inayomilikiwa kwa niaba ya watu wa Nairobi).

Pia tazama[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. Michigan State University Press : Zarina Patel. msupress.msu.edu (2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-03. Iliwekwa mnamo 19 Agosti 2012.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: