Bulu Rantemario

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bulu Rantemario ni mlima wenye kimo cha m 3,478 juu ya usawa wa bahari.

Uko Indonesia katika kisiwa cha Sulawesi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bulu Rantemario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.