Nenda kwa yaliyomo

Bubu Mazibuko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bubu Mazibuko ni mcheza filamu wa kike wa Afrika Kusini.[1][2] akitokea katika filamu ya mwaka 2006 iitwayo Catch a Fire.[3] alianza kuonekana katika tamthilia ya Gaz'lam (2002-2005),[4] pia aliwahi kuchaguliwa kuingia katika tuzo ya Duku Duku kama mchezaji na muigizaji bora wa filamu wa kike .[5] Kwa kiwango bora cha uigizaji katika filamu ya Man on Ground (2011), Mazibuko alichaguliwa tena kuingia katika tuzo ya Africa Magic Viewers' Choice Awards kama muigizaji bora wa kike.[6][7]

Ameolewa na Langa Masina tangu mwaka 2016.[8][9]

  • Catch a Fire (2006)
  • Gangster's Paradise: Jerusalema (2008)
  • A Small Town Called Descent (2010)
  • Man on Ground (2011)
  • Mandela: Long Walk to Freedom (2013)
  1. Faeza (26 Januari 2016). "'Gaz'lam' star Bubu Mazibuko's gorgeous bridal shower". News24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-17. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Zeeman, Kyle (7 Juni 2016). "Joburg set to 'crumble' in new movie starring Desmond Dube and Bubu Mazibuko". The Times (South Africa). Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Willis, John; Monush, Barry (2010). Screen World 2007. Hal Leonard Corporation. ISBN 9781557837295.page 299
  4. "Gaz'lam kept on the boil". Independent Online (South Africa). 10 Februari 2005. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Round four, put up your dukes". Independent Online (South Africa). 7 Novemba 2002. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "AfricaMagic Awards nominees announced". Yahoo!. 30 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Arogundade, Funsho (1 Februari 2013). "AMVCA: Emelonye's Mirror Boy Leads The Pack". P.M. News. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Drum Digital (2 Februari 2016). "Bubu Mazibuko ties the knot". [News24]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-17. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Inside Bubu Mazibuko's big day". News24. 1 Februari 2016. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bubu Mazibuko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.