Brooke Aspin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
mnamo 2017

Brooke Aspin (alizaliwa 1 Julai 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Bristol City Ligi ya Wanawake , Brooke anatokea Chelsea mkopo, Akiwa ni zao la akademi ya Bristol City, amewahi kuwa nahodha wa Uingereza katika ngazi ya vijana walio na umri chini ya miaka 17 na 19[1], na aliwakilisha timu ya walio na umri chini ya 23.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Academy quintet join first team squad". Bristol City FC (kwa en-ZA). 2021-08-03. Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. The Football Association. "England WU23s and Development Phase squads named". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brooke Aspin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.