Brock Lesnar
Mandhari
Brock Edward Lesnar (alizaliwa 12 Julai 1977) ni mchezaji wa mieleka wa Marekani, na alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Kimarekani (American football). Kwa sasa amesajiliwa na WWE, ambapo hufanya kazi WWE Raw, pia ni bingwa wa sasa na wa muda mrefu tangu achukue ubingwa huo dhidi ya mpinzani wake The Undertaker mwaka 2015.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Brock Lesnar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |