Nenda kwa yaliyomo

Brigitte Reimann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Reimann akiongea mbele ya Kamati ya Utendaji ya Baraza la Kitaifa la GDR, mwaka 1963

Brigitte Reimann (Burg bei Magdeburg, 21 Julai 1933 - Berlin Mashariki, 22 Februari 1973) alikuwa mwandishi wa Ujerumani anayejulikana sana kwa riwaya yake iliyochapishwa baada ya kifo chake, Franziska Linkerhand.[1]

  1. "Brigitte Reimann /Biographie/Burg". www.brigittereimann.de.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brigitte Reimann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.