Nenda kwa yaliyomo

Bridget Hayden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bridget Hayden (26 Agosti 181423 Januari 1890) alikuwa sista wa Marekani aliyezaliwa Ireland kutoka Shirika la Masista wa Loretto.

Hayden alikuwa Mama Mkuu wa misheni na alijulikana kati ya wanafunzi wake na Wamarekani wa asili kama "Kiongozi wa Shule za Wasichana" na "Mwanamke wa Dawa".[1]

  1. "Mother Bridget Hayden". A Catholic Mission (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-07-31.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.